MADALALI WA NHC WATOA VYOMBO VYA OFISI ZA GAZETI LA TANZANIA DAIMA.
Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la
Tanzania Daima asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la
pango la mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe.
Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Neville
Meena amesema wako kwenye msukusuko mkubwa lakini wanafanya jitihada za
kukabiliana na hali hiyo ili kuhakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama
kawaida.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni