Jumatatu, 12 Septemba 2016

RAIS EDGAR LUNGU AAPISHWA LEO HII LUSAKA KATIKA KIWANJA CHA MASHUJAA.

 Wananchi wa Zambia wakiwa kwenye foleni ya kuingia katika uwanja wa Mashujaa wa Jijini la Lusaka kushuhudia kuapishwa kwa Rais Edgar Lungu
Wananchi wa Zambia wa wakiwa katika harakati za kuingia ukumbi ili kushuhudia kuapishwa kwa Rais wao leo hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni