Jumatano, 28 Septemba 2016

MAADHIMISHO YA WIKI YA BAHARI DUNIANI YAFANYIKA MKOANI TANGA.

Ufunguzi wa Maadhimisho ya wiki ya Bahari Dunia umefunguliwa jana mkoani Tanga na mwakilishi wa waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Tumpe Mwaijande
Mwakilishi wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Tumpe Mwaijande akipata maelekezo ya vifaa vya kuokolea baharini wakati wa majanga ikiwemo mitungi ya gesi na viatu vya kuogelea kutoka kwa Athunman Mkumba kutoka Idara ya Zimamoto na Usalama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanga (TPA)  wakati wa maadhimisho ya wiki ya Bahari yaliyofunguliwa uwanja wa Tangamano Tanga jana.






 








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni