Zoezi la jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata wale wanaoendesha pikipiki zenye Makosa na kuvunja sheria za usalama barabarani kuaza leo ndani ya Jijini la Tanga
Askari wakitekeleza majukumu yao katika zoezi la kamata kamata wavunjifu wa sheria za barabarani
Baadhi ya pikipiki zilizo kamatwa katika zoezi ambalo ni endelevu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni