Jumamosi, 20 Agosti 2016

WAZIRI MUHONGO AKIWA KWENYE ZIARA BOHARI YA MAFUTA (GBP) TANGA.

Waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo akiwa kwenye ziara Mkoani Tanga kukagua miradi ya utekelezaji usambazaji umeme vijijini (Rea).
 
Mkurugenzi mtendaji Bohari ya mafuta (GBP), Badel Soud, akimpa maelezo Waziri wa Nishati na Madini  Sospeter Muhongo wakati alipofanya ziara katika bohari hiyo Raskazone Tanga.


Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi mtendaji Bohari ya mafuta akimpa maelekezo ya Pampu ya mafuta bohari ya GBP wakati wa ziara yake Mkoani Tanga.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni