Ijumaa, 5 Agosti 2016

KIVUKO CHA MV TANGA KIMEKAMILIKA KUANZA KAZI MWEZI HUU.

Muonekano wa nje wa Kivuko cha MV Tanga, kitakachotoa huduma ya usafirishaji katika Wilaya ya Pangani mkoani Tanga ambacho ukarabati wake umekamilika tayari kwa kuanza kazi.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga wa tano kutoka kushoto waliosimama akiwa na wajenzi wa Kivuko cha Mv Tanga na Mv Magogoni kutoka TEMESA na Kampuni ya M/s Songoro Marine Transport Boat Yard Ltd.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni