Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT)
Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe wakiandamana
wakati wa sherehe ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa lililojengwa na wazawa
wa kijiji hicho waishio maeneo mbalimbali nchini.
Muonekano
wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa
Kulasi wilayani Korogwe .
la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa
Kulasi wilayani Korogwe .
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akifungua mlango wa
kanisa ili waumini wapate kuingia ndani.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania
(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akisoma neno mara
baada ya waumini kuingia ndani ya kanisa hilo.
Muonekano wa ndani wa jengo jipya la Kanisa la KKKT mtaa
wa kulasi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni