Katibu Tawala Mkoa wa Tanga akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Tanga Martini Shigella katika zoezi la kuwaapisha wakuu wa Wilaya katika ukumbi wa Ofisi ya Mkoa Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella akimwapisha Mkuu wa Wilaya ya Handeni
Godwin Gondwe leo hii .
Mkuu wa Mkowa wa Tanga akimwapisha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Robarts Gabie
Mkuu wa Mkoa wa Tanga akimwapisha Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Yonas Maki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni