Jumamosi, 30 Julai 2016

MASHINDANO MISS TANGA 2016 YAFUNIKA KWA UZURI NA AISHA ALLY KUIBUKA MISS TANGA 2016.

Navy Kenzo awakivutio katika miss Tanga 2016 na wimbo kamata chini kamatia chini.  
 Warembo 10 walioshiriki miss Tanga mwaka 2016 katika vazi la usiku.
Walioibuka katika tano bora Miss Tanga 2016.
Miss Talent 2016 ni Edina Kisabo aliyekuwa mshiriki no 6. 
 Miss Tanga mwaka 2016 ni Aisha Ally ambaye alikuwa mshiriki no 3.
   Huyu ndiye Aisha Ally Miss Tanga 2016 aliyeng'ara usiku wa leo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni