Jumamosi, 23 Julai 2016

MKUTANO MKUU WA CCM UNAOENDELEA JIJINI DODOMA.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe magufulina Mwenyekiti mtarajiwa wa CCM  akishiriki kuimba wimbo wa taifa pamoja na Mwenyekiti wa CCM anayeng’atuka madarakani Dk. Jakaya Kikwete  wengine ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , Mwenyekiti Mstaafu wa CCM taifa Mzee Benjamin William Mkapa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Kundi la Hamasa la TOT likiendelea na kutumbuiza
katika mkutano huo.
Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Hassan Suluhu, Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi  Zanzibar SMZ Mhe. Mohammed Said Mohammed Dimwa.
Viongozi wa Vyama mbalimbali vya Siasa wakifwatilia katika mkutano huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni