Jumatano, 20 Julai 2016

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA MH JANUARY MAKAMBA AMTEMBELEA MKE WA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TANGA DAUD SEMKIWA.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba alipomtembelea mke wa aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Marehemu Mzee Daud Semkiwa. 
 Mama Semkiwa akizungumza kitu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba nyumbani kwake Korogwe

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akimsikiliza kwa makini mke wa marehemu mzee Daud Semkiwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni