Mbunge wa Tanga
Mussa Mbaruku akibadilishana mawazo na baadhi ya wakazi wa Jiji la Tanga na
kupata kahawa maeneo ya Chumbageni Jijini hapa.
Mbunge Mussa
Mbaruku akifurahia kitu katika mazungumzo.
Mbunge wa Tanga Mussa Mbaruku akipata kahawa na ndizi na kubadilishana mawazo na vijana eneo la Chumbageni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni