RAIS Dkt. John
Pombe Magufuli amejumuika na waumini wa kanisa kiinjili la kilutheri Tanzania Dayosisi
ya kaskazini ushirika wa Moshi Mjini katika ibada ya jumapili asubuhi hii. Rais Magufuli
yuko mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi na kesho tarehe moja atakuwa mgeni
Rasmi katika sherehe za wafanyakazi Mei mosi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni