Ijumaa, 14 Aprili 2017

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO.



Mwenyekiti wa CCM Rais John Pombe Magufuli akiagana na katibu mkuu wa umoja wa Wanawake (UWT) Amina Makillagi (kulia) Naibu katibu mkuu CCM – Bara Rodrick Mpogolo (kushoto) pamoja na katibu wa itikadi na uenezi CCM Hamphrey Polepole baada ya kukutana nao ofisini Ikulu Jijini Dar es salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni