Jumanne, 2 Mei 2017

MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI) MKOANI TANGA.

Maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) yawakusanya pamoja wafanyakazi wa Serikali na sekta binafsi mkoani Tanga kushiriki waandamana kufurahia siku hii katika uwanja wa mkwakwani Mjini Tanga.


Magari yakionyesha shughuli mbalimbali zinazofanyika  kwa mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shigela katika Maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi). 
Katika Maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) michezo mbalimbali ilichezwa mchezo wa kuvuta kamba uliwavyutia wengi pale uwanjani ambapo timu ya Tanga Jiji iliyoongozwa na Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji walipovutana na wazee waliopewa kibali cha kukata umeme Tanesco na kutoka sale.

 Wakati huo Bandari Tanga wakiwaburuza Simba Ciment ya Tanga.

 Katika mpambano wa timu ya wanawake timu ya Bombo Hospitali iliburuzwa na timu ya Bandari ya Tanga.
Mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shigela akiwa na viongozi wengine katika picha ya pamoja na washindi wa mpira wa miguu Magereza Tanga.






























Hakuna maoni:

Chapisha Maoni