Waziri wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk.
Harisson Mwakyembe akimsikiliza kulia Msanii wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa
aka Roma Mkatoliki akizungumza na waandishi
wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jioni hii wakati
akizungumzia sakata la kutekwa kwake paoja na wasanii wenzake katika studio ya
Tongwe iliyopo Masaki jijini Dar es salaam, Roma ameiomba serikali
kuwahakikishia ulinzi wasanii pamoja na watanzania kwa ujula kwakuwa inaoyesha
hawana usalama kabisa kutokana na tukio lenyewe lilivyowatokea , kushoto ni
Mkewa wa Msanii huyo Bi Nancy.Mke wa Roma Mkatoliki BI. NANCY akiwasili kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Jijini Dar es salaam.
MWISHO




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni