Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania umeanza leo Dodoma.
Mkutano huu ni kwa ajili kupitisha bajeti ya
Serikali itakayowasilishwa bungeni June 15 mwaka huu.
Baada ya kuapishwa, Mbunge Salma Kikwete ameuliza swali kwa
mara ya kwanza na kulielekeza OR-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora
Leo asubuhi kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na
majibu mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni