Viongozi mbalimbali kutoka Jumuiya ya Madola katika kuadhimisha kumbukumbu ya wapiganaji wa vita kuu ya kwanza mwaka 1923 hadi 1925katika makaburi yaliyopo usagara jijini Tanga.
Balozi kutoka Jumuiya ya
Madola Victory Wallace akiwashukuru wananchi wa mkoa wa Tanga kukubali
kuwahifadhi wapiganaji waliopigana vita kuu kutoka nchi mbalimbali
waliozikwa katika makaburi yaliyopo mahali hapa .
Viongozi wa Dini
kutoka madhehebu mbalimbali wakiwakumbuka kwa sala wapiganaji wa vita ya
kwanza katika makaburi ya Usagara mkoani Tanga. Ufunguzi wa eneo la Makaburi baada ya kufanyiwa ukarabati na kujengwa kasasa kuwaenzi wanajeshi hao.
Viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa mkoa wa Tanga wakibadilishana mawazo na kusoma majina ya wapiganaji katika viwanja vya usagara jijini Tanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni