WAZIRI wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye amefika
katika hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin
Shigela aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji Jijini Dar es Salaam.
Kwa taarifa zilizopo hali ya Mkuu wa mkoa wa Tanga Shigela kwa
sasa anaendelea vizuri.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni