Mwalimu wa shule ya msingi ya
Msambweni Tanga, Bahati Chambuli, akiwaorodhesha wanafunzi ambao watameza dawa
za kinga tiba ya magonjwa ya Kichocho na Minyoo ya Tumbo zoezi zililofanyika
kwa siku ya kwanza
Wanafunzi shule ya msingi ya
Msambweni Tanga,wakimeza dawa za
kinga tiba ya magonjwa ya Kichocho na Minyoo ya Tumbo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni