Rais wa jamuhuri ya Muungano Dkt John Pombe Joseph Magufuli Leo
Oktoba 29 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ambapo alizaliwa Oktoba 29,
1959.
Rais Magufuli alizaliwa mkoani Geita na kitaaluma yeye ni
mwalimu aliyebobea katika somo la Chemistry.
Katika siku yake hii ya kuzaliwa, Rais Magufuli amewashukuru
Watanzania wote kwa kuendelea kumuombea ambapo amesema kuwa ataendelea
kufanyakazi kwa bidii na kuwatumikia watanzania wote kwa ajili ya maendelo ya
nchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni