Mabalozi wa umoja wa ulaya wakipokea taarifa ya mkoa
katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tanga.
Mabalozi 12 wa umoja wa ulaya nchini Tanzania watembelea Bandari ya Tanga. Mabalozi wa umoja wa ulaya nchini Tanzania watembelea Bandari ya Tanga na kufurahisha na utendaji kazi wa Bandari ya Tanga.
Wananchi wa chongoleani kijiji kilicho eneo litakalo jengwa bomba la mafuta wakibadilishana mawazo wakati wakisubiri ugeni wa Mabalozi wa umoja wa ulaya jijini Tanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni