Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi
Mwanasha Tumbo akizungumza katika mdahalo wa siku ya wazee kiwilaya
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Wazee Muheza
Katibu Tawala wa wilaya ya
Muheza (DAS) akizungumza neno kwenye kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Halmasahuri ya
wilaya ya Muheza akizungumza siku ya wazee kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi
wa Halmashauri ya Muheza.
Afisa Ustawi wa Jamii na Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri akizungumza kwenye kikao hicho.
Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani
Muheza (UWAWAMU) Seif Athumani akizungumza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Muheza
Hajati Mhandisi Mwanasha Tumbo akifuatilia kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Muheza.
Baadhi ya Wazee wilayani
Muheza wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa wilaya hiyo,Hajat Mhandisi Mwanasha
Tumbo.
Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa wazee wilayani Muheza wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika
kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni