Jumanne, 11 Oktoba 2016

BANK YA DUNIA YATOA VIFAA VYA MFUMO WA USAMBAZAJI HABARI ZA USALAMA BARABARANI MKOANI TANGA.

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Benedict Wakulyamba akifungua Semina ya siku mbili kwa Askari wa Usalama Barabarani.
Baadhi ya Vifaa vilivyo tolewa na Bank ya Dunia kwa Jeshi la Polisi  kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani Tanga.                                                           
  Askari wa Usalama Barabarani Mkoa wa Tanga wakiwa kwenye Semina ya mfumo wa usambazaji habara za Usalama Barabarani.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni