Watumishi wa umma mkoa wa Tanga na
wakazi wa Jiji hili wakifanya mazoezi kuitikia wa agizo la Makamu wa Rais Samia
Hasani Suluhu la kuwataka watumishi wa umma pamoja na sekta binafsi na wananchi
wote kufanya mazoezi hapa ni katika
kiwanja cha mkwakwani Jijini Tanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni