MKUU wa mkoa
wa Tanga Martin Shigela akizungumza na wadau wakati wa uzinduzi wa huduma za
simu kwa teknolojia ya 4G LTE iliyofanyika katika eneo la ofisi ya TTCL Mkoani
hapa.
Mwenyekiti wa
bodi ya TTCL Omary Nundu akizungumza na wadau katika uzinduzi wa simu kwa
teknolojia ya 4G LTE
Kaimu afisa
mtendaji mkuu TTCL Waziri Kindamba,wa
kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Tanga Martin
Shigela ambaye hayupo kwenye picha hii.
Waandishi wa
Habari wa vyombo mbalimbali wakiwa makini kuandika habari wakati mkuu wa mkoa
wa Tanga akizungumza na wadau wa TTCL Mkoani Tanga.
Mwenyekiti wa
Bodi ya TTCL Omary Nundu akiwa amemshika mkono mkuu wa mkoa Martin Shigela
kuelekea katika ufunguzi rasm wa simu kwa teknolojia ya 4G LTE Mkoani hapa.MKUU wa mkoa wa Tanga Martin Shigela akizindua huduma ya simu kwa teknolojia ya 4G LTE
Kaimu afisa mtendaji mkuu TTCL Waziri Kindamba akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela kibao kilichoandaliwa maalumu kwenye uzinduzi huduma za simu kwa teknolojia ya 4G LTE pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL
MKUU wa mkoa wa Tanga Martin Shigela akikabidhiwa zawadi ya simu iliyougwa na huduma ya teknolojia ya 4G LTE
MKUU wa mkoa wa Tanga Martin Shigela akizungumza na simu iliyounganishwa na huduma ya teknolojia ya 4G LTE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni