NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa Tamisemi Suleman Jafo akiwasiri katika shule ya sekondari Mnyuzi wilayani korogwe vijijini na kusalimiana na Viongozi pamoja na Walimu.
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi Rais Tawala za mikoa Tamisemi Suleman Jafo akikagua matundu ya vyoo vilivyojengwa kwakuzingatia watu wenye mahitaji maalumu (walemavu) katika shule ya sekondari mnyuzi korogwe vijijini.
Hili ni tundu moja la choo kwajili ya watu wenye mahitaji maalum ni kati ya matundu kumi ya vyoo kati yaliyojengwa katika shule ya Sekondari Mnyuzi Wilayani Korogwe Mkoani Tanga.
Hili ni moja ya tundu la choo cha kawaidi katika shule ya sekondari mnyuzi.
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi Rais Tawala za mikoa Tamisemi Suleman Jafo akikagua Mabweni ya kulala Wanafunzi wa Shule ya sekondali Mnyuzi Korogwe.
NAIBU Waziri
wa Nchi Ofisi Rais Tawala za mikoa Tamisemi Suleman Jafo akimwangalia mkuu wa wilaya ya korogwe Mhandisi
Robert Gabriel akijaribisha kupanda kitandani katika Mabweni ya kulala Wanafunzi
wa kike katika shule ya Sekondari Mnyuzi
Korogwe vijijini.
Mbunge wa
korogwe vijijini Stevin Ngonyani (Prof. Majimarefu) akitoa shukrani kwa Naibu
waziri Jafo alipotembelea shule ya Mnyuzi iliyopo katika Jimbo lake.
Mkuu wa
Wilaya ya Korogwe Mhandisi Robert Gabriel akimkaribisha NAIBU Waziri wa Nchi
Ofisi Rais Tawala za mikoa Tamisemi Suleman Jafo ili azungumze na wanafunzi wa shule ya Mnyuzi
iliyopo Korogwe vijijini.NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi Rais Tawala za mikoa Tamisemi Suleman Jafo akizungumza na wazazi pamoja na wanafunzi katika viwanja vya shule ya Sekondari Mnyuzi.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mnyuzi wilayani Korogwe wakimsikiliza NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi Rais Tawala za mikoa Tamisemi Suleman Jafo ambaye hayupo kwenye picha wakati wa ziara yake shuleni hapo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni