Watumishi wanawake wa kiwanda cha Simba Cimenti
Tanga wamejumuhika pamoja na wake wa wafanyakazi wenzao kufanya matembezi ya hiari ya kuhamasisha
upimaji wa salatani ya shingo ya kizazi katika eneo la kiwanda cha Tanga
Cimenti mkoani hapa.
Wake wa watumishi wa Simba Cimenti
wakiwa katika matembezi ya pamoja na watumishi wa Simba kwa nia ya kuhamasisha
upimaji wa salatani ya shingo ya kizazi.
Mgeni rasmi mganga mkuu msaidizi
Amina Mchalaganya wakifanya mazoezi na watumishi wanawake na wake wa watumishi Simba
Cimenti katika maeneo ya kiwanda hicho.
Wataalam wa kupima wakiwapima wake za watumishi na watumishi wa Simba Cimenti Tanga
MWISHO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni