Leo ni siku
ya afya ya kinywa na meno kwa mkoa wa Tanga kwa mara ya kwanza maadhimisho haya
yamefanyika katika kiwanja cha Tangamano mgeni rasmi akiwa mkuu wa Wilaya ya
Tanga Tobiass Milapwa akiwa na viongozi mbalimbali wa wilaya katika Maadhimisho
hayo.
Wanafunzi wa
chuo cha afya ya kinywa na meno wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
wilaya ya Tanga
Wadau na
wanafunzi wakiwa katika maadhimisho ya afya ya kinywa na meno kiwanja cha Tangamano
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni