Ijumaa, 17 Machi 2017

UANDIKISHWAJI WA WASHIRIKI WA TANGA CITY MARATHONI WAANZA.

 Mratibu wa mashindano ya Tanga City Marathoni Juma Mwajasho wa katikati akizungumza na waandishi wa habari katika ufunguzi wa uandiksha washirika wa mashindano ya marathoni.

Meneja wa Mkwabi super market Kaukab Hussein ambao ndiyo wa Mdhamini wakuu wa wa Tanga City Marathoni akiwaeleza na waandishi wa habari kuhusu zawadi zilizo andaliwa kwajili ya washiriki wa mashindano ya marathoni.
 
Katibu mkuu wa riadha mkoa wa Tanga Hassani Mwagomba akiongea na waandishi wa habari katika ufunguzi wa Tanga City Marathoni ambayo wameanza kuandikisha hii leo na mashindano yanatarajia kuanza tarehe 15 ya mwezi 4.

Baadhi ya waandishi mkoa wa Tanga wakichukua taarifa ya mashindano ya Tanga City Marathoni ambayo ya taanzia Mkwabi super market na kuishia katika kiwanja cha mkwakwani kilichopo Tanga. 
Baadhi ya waandishi mkoa wa Tanga wakichukua taarifa ya mashindano ya Tanga City Marathoni ambayo ya taanzia Mkwabi super market na kuishia katika kiwanja cha mkwakwani kilichopo Tanga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni