Jumanne, 13 Desemba 2016

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA CHA MERU.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akionyeshwa mafuta  ya kula na Mkurugenzi wa Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal  (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2016.  Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na watatu kulia na Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Singida, Martha Mlata
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Watatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal.


Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugezi Mkuu wa makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal kuhusu mafuta ya kula yanayozalishwa na kiwanda cha Meru cha Singida mjini  wakati alipotembelea kiwanda hicho Desemba 12, 2016







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni