Ijumaa, 26 Mei 2017

SERIKALI YA TANZANIA NA UGANDA ZATILIANA SAINI MKATABA WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA.



Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Profesa Paramagamba Kabudi na Waziri wa Nishati wa Uganda Bi. Irene Muloni wakitia Saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania.
Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Profesa Paramagamba Kabudi (kulia)na Waziri wa Nishati wa Uganda Bi. Irene Muloni (kushoto)wakionyesha Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania baada ya kutia saini. 
  
   



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni