Jumatatu, 15 Mei 2017

BARABARA YA MOMBO LUSHOTO YAHARIBIKA NA MVUA ZINAZONYESHA MKOANI TANGA.

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Benedict Wakulyamba akipita kwa shida kukagua barabara ya Mombo Lushoto baada ya mvua kuharibu barabara hiyo.
Baadhi ya wasafiri kutoka Mombo kuelekea Lushoto wakiwemo wanafunzi       wakikumbana na adha ya barabara kwa kutembea zaidi ya kilometa saba. 



 


 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni