Mganga
mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo Jumanne Karia akipokea msaada wa mashuka
mia hamsini yenye thamani ya shilingi million 3 kutoka kwa wanachama wa Tanesco
Sacos.
Acheel Nampanga
mwenyekiti msaidizi kamati ya Tanesco Sacos Tanzania akimfunika mgonjwa
aliyelazwa katika wodi no 4 ya wakina Mama Hospitali ya Rufaa Bombo Tanga wakati
wakikabidhi msaada wa mashuka hospitalini hapo.Wafanyakazi na wanachama wa Tanesco Sacos wakiwajulia hali wakina mama waliolazwa wodi no 4 katika Hospitali ya Bombo Tanga wakati walipo wapelekea msaada wa mashuka .
Wafanyakazi na Wanachama wa
Tanesco Sacos wakiwa kwenye picha ya pamoja eneo la Hospitali ya Rufaa ya Bombo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni