Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijaghe akikagua Banda la Bandari Tanga akipokelewa na meneja wa Bandari Percival Salama katika maonyesho ya Biashara katika viwanja vya Mwahako Jiji na mkoa wa Tanga.
Waziri wa
Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijaghe akikagua Mabanda ya wamama
wajasiliamali mbalimbali walioshiriki katika maonyesho ya Biashara ya kimataifa
katika viwanja vya Mwahako Jiji na mkoa wa Tanga.
Mkurugenzi wa
Jiji la Tanga Daud Mayeji akimweleza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji
Charles Mwijaghe mikakati ya Jiji kuelekea Tanga ya viwanda.