Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akikagua gwaride la heshima
lililoandaliwa wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja
la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni,Mkoani Tanga.
Gwaride la heshima likipita mbele
ya Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali
Projest Rwegasiara, wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya
Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo,
Wilayani Handeni,Mkoani Tanga
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza wakati wa Mahafali
ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo
cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, Mkoani Tanga.Ambapo aliwaasa
wahitimu kwenda kulihudumia Taifa kwa uadilifu mkubwa.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira(kushoto), akimkabidhi cheti
mmoja wa wahitimu 156 wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi
Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani
Handeni,Mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira(kushoto), akimvisha nyota mmoja
wa wahitimu 156 wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja
la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni,
Mkoani Tanga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni