Katibu Tawala
mkoa wa Tanga Zena Said akiongea na wazazi na wasichana waliohitimu mafunzo
mbalimbali vya ujasiliamali ambao wasichana 700 wamepatiwa vifaa vya
ujasiliamali ili kuweza kujikimu kimaisha kutoka Brac Maendeleo Tanzania.
Meneja
Mipango na Elimu Brac Tanzania Amina Shaaban akizungumza katika hafla ya
kuwakabidhi vifaa vya ujasiliamali wasichana waliopata mafunzo mbalimbali ya mkoani Tanga katika ofisi za Brac Makorola.
Walimu wa
kozi mbalimbali zinazotolewa na Brac Maendeleo Tanzania.
Wanafunzi walio
hitimu mafunzo ya ujasiliamali wakitoa maneno ya shukrani kwa viongozi wa Brac Maendeleo Tanzania katika hafla fupi ya
kukabidhiwa vitendea kazi .
Katibu
tawala wa mkoa wa Tanga Zena Said pamoja na viongozi wa Brac Maendeleo Tanzania wakikabidhi vifaa kwa
wahitimu mafunzo ya ujasiliamali katika hafla fupi iliyo fanyika kwenye ofisi
ya Brac Makorola Tanga ambapo wasichana 700 wamewezeshwa.
Wazazi wa wasichana waliomaliza mafunzo ya ujasiliamali yaliotolewa na
Shirika la Maendeleo Brac Tanzania.
Wafanyakazi wa Brac Mendeleo Tanzania pamoja
na viongozi wa mkoa wa Tanga wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni